Mzee Wasira huyu hapa

Mpiga picha yuko vizuri:
MAKUU "Wassira"
 
Suo miaka mingi nitakuwa mwenyekiti wa hiki chama nitaleta mabadiliko sana.
 
Mi mizee mi chawa ya Taifa ndo hii...kuna muda aliuza samaki toka MZA to DSM alikwama.kabisa maisha
Kile kipindi alipojiunga NCCR Mageuzi baada ya kukatwa jina CCM kwa fitna..akichoka balaa.
Tumsamehe tu.
 
Wiki kadhaa zilizopita kuna watu walimmisi Mzee Wasira wakawa wanauliza Yuko wapi?

Leo kaibuka katika mkutano wa CCM huko Dodoma akiwa na nguvu zaidi, Ari zaidi na Kasi zaidi.

View attachment 3349906
Uyu mzee binafsi sina shida nae maana najua kwa sasa kama yupo na miaka 70 kiona miaka 70 mingine ni ndoto ,ni mda wake wa kujenga Taifa sio bomoa Taifa baada yake kuna kizazi chake na cha watz wengine wanakuja, so atulie vizuri katika cheo husika , sio kuleta mzaa, taifa ni kubwa kuliko umri alio nao ,asema Bwana
 
Ana miaka 80 huyo kazaliwa 1945
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…