Mzee wa usingizi popote

N series

Senior Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
170
Reaction score
14
huyu jamaa naona ana bofya tu usingizi pale mbele ya maige, kaonyeshwa wakati huu anaongea Mh. Lembeli,
duh, kweli jamaa analala, au anakeshaga wapi??????
labda ni attendant mzuri wa club 84 au Maisha pale Dom
 
Nimemuona kwa pembeni pale teh! Wasira ni hatari kwa kuchapa usingizi!
 
Nimemuona kwa pembeni pale teh! Wasira ni hatari kwa kuchapa usingizi!
lakini huyu jamaa inabidi taita limtunze vizuri manake kama yakitokea mashindano ya kuchapa usingizi jamaa bila shaka atarudi na Trophy
 
lakini huyu jamaa inabidi taita limtunze vizuri manake kama yakitokea mashindano ya kuchapa usingizi jamaa bila shaka atarudi na Trophy

TAITA OR TAIFA? Kama ni Taita basi Jeykey kapata jembe! Jamaa ni kiboko cha usingizi!
 
Deposit at the site of belly is very rich,let him enjoy hizo natural heritage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…