Ndio vikombe vyenyewe hivi ama?!..
Mwinjilisti maarufu Anthony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako ametangaza kuanza kutoa kikombe kama Mnyakyusa mwenzie Ambilikile Mwasapile afanyavyo kule Loliondo.
Tiba yake hiyo itaanza rasmi kutolewa kanisani kwake siku ya Jumapili, wote mnakaribishwa na kikombe ni bure, huna haja ya kubeba pesa yoyote
Unataka source hata kwa hili ?Not sure,tupe source ndg,tusije tukajimwaga huku for gossips.