maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,410
- 6,067
We ni mzee wetu, na yeye pia màana alikuzidi umri, huyu mzee namkubali kutoka rohoni yeye ila pia na ww nakuheshimu kutokana na maandishi yako...kwa sisi wachaga hata kama hatukupendi huwa tunaonyesha heshma yetu! Sio kama waswahili!
Nakuomba kwa heshma na taadhima utuandikie orbituary ya mzee wetu Sir George Kahama!
Hili ni ombi, mzee wangu Mohamed na nina maombi mengine nane..
Naamin utanisaidia hapa!
Maana tunakuamini, na tunajua unajua haya mambo na kuyahadithia...
Namkumbuka barubaru
Nb: achana na hadithi ya nyerere mzee wetu kuhusu Sir George kahama na hadithi ya ukabila ya Mayoooo....hiyo naijua