E Edwin Chapa Member Joined Jun 3, 2011 Posts 54 Reaction score 12 Nov 10, 2011 #1 Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,657 Nov 10, 2011 #2 bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. rest in peace
The Emils JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 568 Reaction score 125 Nov 10, 2011 #3 poleni wapendwa
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Nov 10, 2011 #4 Wasanii wa bongo walivyo kuwa wanafiki wataenda kwenye msiba na mazishi ya mzee huyu kwa mbwembwe nyingi wakati hawakuonyesha upendo na ukaribu wakati wa kuugua kwake. Puuumbaaaaavuuuu.
Wasanii wa bongo walivyo kuwa wanafiki wataenda kwenye msiba na mazishi ya mzee huyu kwa mbwembwe nyingi wakati hawakuonyesha upendo na ukaribu wakati wa kuugua kwake. Puuumbaaaaavuuuu.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,431 Nov 10, 2011 #5 akiwa anaumwa hamkutaka hata kwenda kumuona, mazishini mnalia hadi sauti zinawakaukeni. Acheni unafiki
akiwa anaumwa hamkutaka hata kwenda kumuona, mazishini mnalia hadi sauti zinawakaukeni. Acheni unafiki
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 10, 2011 #6 ooh! Mungu amlaze pema.
N NnyaMbwate JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,678 Reaction score 1,204 Nov 10, 2011 #7 Mungu amrehemu, tutamkumbuka!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,085 Nov 10, 2011 #8 Apumzike kwa amani
drmkumba Member Joined Dec 27, 2010 Posts 52 Reaction score 1 Nov 10, 2011 #9 Mwenyezimungu amrehehemu.Kwakweli alichangia kwa kiasi kikubwa kuinua sanaa ya kuigiza.
LE GAGNANT JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 1,241 Reaction score 253 Nov 10, 2011 #10 R.i.p mzee kipara
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,807 Nov 10, 2011 #11 Rest in peace!
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,068 Reaction score 2,225 Nov 10, 2011 #12 badilisha title hapo kwenye amekufa isomeke amefariki
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,248 Nov 10, 2011 #13 simjui lakini RIP
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Nov 10, 2011 #14 Inna li Llahi wa Inna iLlahi Rajiun.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 10, 2011 #15 maandamano said: simjui lakini RIP Click to expand... rip mzee kipara mbona alikuwamaarufu sana..ulikuwaga umcheki enzi hizo ITV michezo ya kaole sanaa group. Wakina nyamayao, kibakuli, mhogo mchungu n.k.
maandamano said: simjui lakini RIP Click to expand... rip mzee kipara mbona alikuwamaarufu sana..ulikuwaga umcheki enzi hizo ITV michezo ya kaole sanaa group. Wakina nyamayao, kibakuli, mhogo mchungu n.k.
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 591 Nov 10, 2011 #16 Mzee Kipara wa Kaole amesema yeye ni mzima, anaumwa mguu. Updated 8.40pm
NGUVUMOJA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,347 Reaction score 329 Nov 10, 2011 #17 Mwenyezi mungu amrehemu mzee upara.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Nov 10, 2011 #18 Edwin Chapa said: Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu Click to expand... Habari hii ni uwongo, Milad kamuhoji mmoja wa wasanii kakanusha na mzee kiongea kuwa anasumbuliwa na mguu
Edwin Chapa said: Ndugu zangu wana jamii nimefungua Page ya Millard Ayo ktk Facebook na ameandka habari juu ya kifo cha Gwiji la Tasnia ya Filamu Click to expand... Habari hii ni uwongo, Milad kamuhoji mmoja wa wasanii kakanusha na mzee kiongea kuwa anasumbuliwa na mguu
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Nov 10, 2011 #19 kweli mafisadi mnaweza ku pretend! Roho na maneno yenu vitu viwili tofauti. R.I.P mzee kipara FaizaFoxy said: Inna li Llahi wa Inna iLlahi Rajiun. Click to expand...
kweli mafisadi mnaweza ku pretend! Roho na maneno yenu vitu viwili tofauti. R.I.P mzee kipara FaizaFoxy said: Inna li Llahi wa Inna iLlahi Rajiun. Click to expand...
G Giddy Mangi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 830 Reaction score 184 Nov 10, 2011 #20 kichwat said: Mzee Kipara wa Kaole ni mzima, anaumwa mguu. Updated 8.40pm Click to expand... Tunaomba source ya habari hii
kichwat said: Mzee Kipara wa Kaole ni mzima, anaumwa mguu. Updated 8.40pm Click to expand... Tunaomba source ya habari hii