kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 1,876
- 3,492
Sisi tulioko ndani ndo tunaelewa kinachoendelea. Tusiposhtuka mapema tutapigwa vibaya sana.CCM ya Makamba ilikuwa ya kihuni sana ,ilikuwa himaya ya kundi flani ,Knana.akajaribu kuokoa jahazi ,lakini aleikoa ccm ni mgombea wao Magufuli na kakisuka chama haswa,ndio maana wengi wanagombea kupitia chama hicho,imani imerudishwa ndani ya chama
Teh teh unacomment utafikiri hutumii bundle ya LumumbaCCM ya Makamba ilikuwa ya kihuni sana ,ilikuwa himaya ya kundi flani ,Knana.akajaribu kuokoa jahazi ,lakini aleikoa ccm ni mgombea wao Magufuli na kakisuka chama haswa,ndio maana wengi wanagombea kupitia chama hicho,imani imerudishwa ndani ya chama.
Kuwasha mitambo sawa lakini inategemea na aina ya mitambo iliyo washwa. Mbona waliwasha muda tujuavyo wengine tangia novemba 2015 maana wao wamekuwa wakifanya siasaCCM ipo sawa na mitambo imewashwa rasmi leo.
Hiyo miradi inawanufaisha vipi wanakijiji?JPM haitaji hayo. Wale walikomaa kwa sababu hawakuwa na walichokifanya.
Sasa huyu alitakiwa asizunguke popote bali ahutubie taifa siku moja tu kabla ya uchaguzi
Musiba Ni kichaa hamna kitu paleKipindi hiki atazunguka Polepole na Bashiru bila kumsahau Musiba hivyo ondoa hofu ya kushindwa.
Mimi pia npo ndani ,muda ni mwalimuSisi tulioko ndani ndo tunaelewa kinachoendelea. Tusiposhtuka mapema tutapigwa vibaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka zako hapa, hata wiki2 hazijaisha tangu Rais Kikwete atufumbue macho. Kumbe miradi hii mnayoitegemea iwasadie kwenye kampeni yeye ni founder.JPM haitaji hayo. Wale walikomaa kwa sababu hawakuwa na walichokifanya.
Sasa huyu alitakiwa asizunguke popote bali ahutubie taifa siku moja tu kabla ya uchaguzi
Na huo wimbo wa miradi ndo utatumalizaToka zako hapa, hata wiki2 hazijaisha tangu Rais Kikwete atufumbue macho. Kumbe miradi hii mnayoitegemea iwasadie kwenye kampeni yeye ni founder.
Ningeshauri rais wa nchi asiwe mwenyekiti wa chama, naona majukumu yanakuwa mengi mpaka anaelemewa.Nilisema Mh hana washauri wa kweli? Kuna walio ni beza kwa vile hawajui nilikuwa na maana gani.. Asante kwa kuendelea kuwainyesha picha.
Hata leo bado kachemka kusema kampeni za ufunguzi zifanyike Dodoma. Hkuangalia alipata wapi kura nyingi awape hiyo heshima.
Hakuangalia population ya Dodoma na miji mingine ili aone upepo ukoje? Kama ni marekebisho yafanyike mapema. Au kwa vile watu wao husombwa kwa malipo hamna shida.. Ila siwaamini washauri wa huyu baba.
Hapo uko nje ya reli. Wengi wana gombea kwa kutumia nyota ya Magu. Pia kuamini hata akishindwa ata tangazwa kama kwenye chaguzi ndogo. Hakuna mwenye uchungu n chama hapo. Wote ni maslahi binafsi..CCM ya Makamba ilikuwa ya kihuni sana ,ilikuwa himaya ya kundi flani ,Knana.akajaribu kuokoa jahazi ,lakini aleikoa ccm ni mgombea wao Magufuli na kakisuka chama haswa,ndio maana wengi wanagombea kupitia chama hicho,imani imerudishwa ndani ya chama.