Mzee Kinana alizunguka nchi nzima kukinadi chama lakini kipindi hiki mmh!

pote umeongea point ila suala la kukiombea chama ndipo umevuruga kila kitu..shame on you!!
 
Nilisema Mh hana washauri wa kweli? Kuna walio ni beza kwa vile hawajui nilikuwa na maana gani.. Asante kwa kuendelea kuwainyesha picha.
Hata leo bado kachemka kusema kampeni za ufunguzi zifanyike Dodoma. Hkuangalia alipata wapi kura nyingi awape hiyo heshima.
Hakuangalia population ya Dodoma na miji mingine ili aone upepo ukoje? Kama ni marekebisho yafanyike mapema. Au kwa vile watu wao husombwa kwa malipo hamna shida.. Ila siwaamini washauri wa huyu baba.
MWAKA 2015 KAMPENI ZILIZINDULIWA JANGWANI DAR. NA NDO MKOA ALIOPATA KURA CHACHE BARA KULIKO MKOA WOWOTE..SASA ULITAKA NA MWAKA HUU ARUDIE MAKOSA? MIMI SIYO CCM ILA KWA HILI LA KUIKIMBIA DAR NAONA YUKO SAHIHI.

JamiiForums mobile app
 
Waswahili wanasema Moto ukiwaka sana basi unaelekea kuzima.

Ilikua kidogo tu CCM ife vibaya kipindi Cha Kikwete ila uwepo wa watu machachali Kama Nape Nnauye, Kinana na wengine ulifanya chama chetu kibaki kwenye ramani.

Hali Ni tofauti Sana kipindi hiki, kwa wasiofahamu wanaweza kuhisi chama kiko imara sana ila kwa sisi tulioko ndani tunakiona kinachotokea.

CCM ya kipindi hiki imejaa mamluki wengi sana, ambao wamekuja kwa maslahi yao binafsi. Nakumbuka wakati nipo chuoni, vijana wengi walikuja kuchukua kadi za chama ili tu waonekane kwenye soko la ajira.

Wengine waliamua kuwa active baada ya kuona Mwenyekiti anafanya teuzi nyingi kutoka UVCCM. Msiwaone vijana wengi wanaimba nyimbo za chama mkahisi Ni wafia chama la hasha! Hao wapo kimaslahi zaidi.

Chama kinahitaji watu imara sana kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote, tukiombee Sana chama hiki Kama bado tunakipenda.
Pole pole humuon au mnafikir sis ni nyie ambao miaka yote yupo mwenyekit
 
Wewe sio mwanaCCM kwani wanaCCM hawana sifa ya usaliti.
Chama hakikosolewi kwenye mitandao. Kazi hiyo waachie wapinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom