Kazi imekolea jamani
Siasa hizo watu ni wale wale jaman
Hivi hakuna wengine eti
List hii, umepotea njia
Alipoishia pale kwa udikiteta?Tunataka atakae shikilia pale alipoishia magufuri, tulisha zoea kuchapa kazi tulisha zoea kulipa kodi, teyar tunajua sisi ni matajiri na vijana wamejityuni kukaa na kuchapa kazi hivyo hatutaki kurudi nyuma tunahitaji atakae tupeleka mbele zaidi na Sio kurudi nyuma
Hiyo list yako hapana ni pori
Tunataka atakae shikilia pale alipoishia magufuri, tulisha zoea kuchapa kazi tulisha zoea kulipa kodi, teyar tunajua sisi ni matajiri na vijana wamejityuni kukaa na kuchapa kazi hivyo hatutaki kurudi nyuma tunahitaji atakae tupeleka mbele zaidi na Sio kurudi nyuma
😂😂Alipoishia pale kwa udikiteta?
Nyie subirini mtajionea WENYEWE.
kile mlichokuwa mnakitafuta sasa Mtakipata.