Mzee anayetrend huko mitandaoni ni nani?

Wamemuibua na kumchanganya na watu ili afe!ukijichanganya sana na watu unakufa mapema!
huyo ni mzee mwenye umri mkubwa kwa taarifa zilizopo........duniani alikuwa akiishi pembezoni na mji kwa kujitenga ndo watu wakamuibua india
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…