Elimu ya msingi, sekondari na ngazi zote za diploma itolewe bure-Katiba itamke hivyo. Hii itasaidia kutowapa mwanya wazazi wenye nia ya kuwaachisha watoto wao shule kwa kisingizio cha ugumu wa maisha kufuatia karo. Pia serikali ijenge uweze wa wananchi kupata fedha siyo kuwapa uwezo huo watu wachache wenye madaraka (mafisadi) wengine wakabaki vidampa