Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 857
- 1,653
ZINGATIA HAYA KUMLINDA MWANAO MTANDAONI
1. Mzazi/Mlezi ongea na mtoto kwa kumfundisha kuhusu matumizi sahihi ya kifaa cha kidigitali kama vile simu au kompyuta
2. Mzazi mpatie mtoto miongozo ya kutumia Mitandao ya Kijamii, mwelekeze maudhui anayoweza kuweka na watu anaoweza kuchangamana nao Mtandaoni
3. Mzazi/Mlezi weka mipaka ya mambo ambayo mtoto anaweza kuyafanya mtandaoni au katika Kifaa chake cha Kidijitali.
4. Mzazi/Mlezi kuchuja maudhui yasiyofaa kwa kutumia programu maalumu (parental control programs) kwenye vifaa vya mwanao.
5. Mzazi/Mlezi mfundishe mtoto namna ya kulinda taarifa binafsi. Mwelekeza athari anazoweza kupata kwa kuchapisha mtandaoni taarifa hizo
6. Muhamasishe mtoto wako kutoa taarifa kwako endapo atakutana na tatizo lolote mtandaoni.