Mzani wa Mawe unauzwa

borncool

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
226
Reaction score
49
Kwenye uhitaji wa mzani wa kupimia wa mawe anicheki PM bei ya kuanzia ni 110k ni umetumika miezi michache tu so bado mpya kabisa ,napatikana Morogoro mjini
 

Attachments

  • IMG_20210105_100534_3.jpg
    197.8 KB · Views: 42
  • IMG_20210105_100439_9.jpg
    160 KB · Views: 36
  • IMG_20210105_100509_3.jpg
    262.8 KB · Views: 33
......................"Lord without me, - You're nothing".
Alisikika muumini mmoja akimuomba Mungu kwa madaha na kwa sauti akijua anawakoga ambao hawajui Kiinglishi.

Dogo mtoto wa mchungaji anaesoma ingilishimidiam akasema kwa sauti kubwa,
'Anko, huendi Mbinguni.
Waumini wote wakapigwa na butwaa!

Je, ni kweli muumini anazo au hana dalili za kwenda mbinguni?
Unadhani kwanini?

Unapohitaji chochote unatakiwa utoe ujumbe sahihi na lugha yakueleweka.

Sasa ndugu,
Unatuambia unauza mizani ya mawe?-Mawe gani?
maana hata vito wengine wanaita mawe.

Mwingine anaweza kusema kuna picha, sawa.
Binafsi, sijawahi kuona mizani ya aina hii.

Weka tangazo lieleweke kiurahisi vinginevyo utangoja sana.

Ni maoni tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…