My Wife DOES NOT WORK !!!

Hakuna mke wa aina hii katika dunia hii tunayoishi sasa...tuache kudanganyana!

Kwani wewe unaishi dunia ipi? Hii hii ambayo wanaume wala hawajigusi? Kila kitu mfanyiwe tu, mnachoshajee?
 

read this bby kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Dah!Hii post umefanya nimecheka sana,nafikiri jamaa alifikiria kuitoa hiyo mimba...!!!
 
Huu ni ukweli mtupu . Mwanamke anaplay role kubwa sana nyumbani hata akiwa muajiriwa bado atalazimika kuwajibika home na mume akirudi kazini anamuuliza mkewe umeandaa nini wakati wote wamerudi job pamoja. Asante sana wanawake wapewe heshima yao mkuu. Najua wengine watasema kuna wadada wa kazi lkn bila mama kumpa muongozo mdada wa kazi unadhani atafanya vema.
 
basi tumekusikia
 
Riwa pls njoo kwangu nikuoneshe jirani yangu na ana watoto watatu wawili wanasoma.., chekechea na drs la tatu.. Tena Hana mdada wa kazi ni yeye mwenyewe na mumewe hajui hata kumsaidia kubembeleza Mtoto akilia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…