My wedding!

TzPride

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Posts
2,616
Reaction score
1,172
Kaharusi kangu wajemeni
 

Attachments

  • 169047_181025728585992_100000356992173_503917_1860343_n.jpg
    72.1 KB · Views: 500
nimeipenda....na mimi itabd nimtel my future huzb lkn ya kwetu inabd tupande guta
 
Harusi hii ilikosa wanakamati kabisa ..nimependa lip shine aliyoweka harusi
afu kwa mbele ya ZZK mbeya ni radio au pochi ya bi harusi?!
 
Kuna mwanamke kweli kwenye hiyo picha? Ngoja nikavae miwani ya mbao labda nitawaona vizuri.... Narudi!:glasses-nerdy:
 
Kuna mwanamke kweli kwenye hiyo picha? Ngoja nikavae miwani ya mbao labda nitawaona vizuri.... Narudi!:glasses-nerdy:
Ahahahahaaah!!!!! Original komedi.
 
Huu ndio ubunifu tunaouhitaji katika ulimwengu wa leo. Sio watu wanarudia mambo yaleyale wengine wakimaliza harusi zao wanajikuta wanamadeni chungu nzima . Hpo mzee gharama uliweza kuimudu vema!
 
Asanteni sana. lakini mke mwenyewe kanitoroka,,,ati hafiki kila siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…