[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1]"Mungu si mtu, aseme uongo, Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" ([/SIZE][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1]Hesabu 23:19)[/SIZE][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1][/SIZE][/FONT]
Usifanye Mzaha na kulitaja taja bure jina la Bwana Mungu wako. Kadri unavyo waheshimu wazazi wako na ya kwamba hutawataja katika mizaha, vivyo hivyo inakupasa kumheshimu Mungu Maana anasitahili kuheshimiwa!
Makerubu wanaozunguka Kiti cha Enzi cha Mungu hufunika nyuso zao kwa heshima kuu, na humwabudu Mungu na kuimba mtakatifu mtakatifu......