Me ni mschana nna umr wa miaka 24....nimeamua kuwa na maisha yangu baada ya kuumizwa sana kimapenz nimembembeleza sana my bf labda hatabadlika lakini bado naishia kila siku kulia najiona sina thaman kwenye dunia hii it's beter mtu akwambie ulichomkosea.....siach kusal namwomba mungu anisaidie katka hii hali nlyokuwepo nayo naumia sana jaman nashndwa kula ni stres tu bado nampenda na nataka kumsahau in my head b'coz nashndwa kufanya mambo yangu mda mwng namwaza yy mpaka nimeanza kulose some weight naumia zaid nkimfkiria jins tulvyokuwa tumepanga mambo mengi kuhusu me na ye before hajapata kazi lakin sasa malipo yangu ni kulia kla sku....!nakuja kwenu naombeni msaad weni ni vp unaweza kumsahau mtu ulyekuwa unampenda ni kweli nimeamua kuachana nae napata tabu sana jamani plz ushaur