Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hi pple
Yaani mm tokea asubuhi siwezi tuma message wala kupokea message japo 3G na calls nakula kama kawa
Nimejaribu google nikakutana watu wana similar problem lkn soln walizopewa niku-set Message center zifanane na Network zao
Na mm nikaingia settings nikakuta Message center ya Tigo iko sawa(+255713800880) na voda iko(+25575114)
yaani simu yangu ni ya Line mbili sasa sijui shida ni nn?
Any Help will apreciated maana nimeshindwa kumtumia "Gudnyt" mama yoyo
Thanks