My perceptions: Know the failed evil plans of CHADEMA since 2010

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
1: ufisadi; mpango uliolenga kuichonganisha serikali ya ccm na wananchi. Mpango umeshindwa na hausikiki tena.

2: Nchi kutotawalika; mpango huu ulilenga kuwatia hasira wananchi mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 ili waikatae serikali ya ccm kupitia mpango wa kutotii sheria na baadae mapinduzi. Mpango huu ulitekelezwa kwa matamko ya mfululizo yasiyo na tija dhidi ya serikali, uchochezi wa kuihusisha serikali na maovu mbalimbali yakiwemo mauaji ya raia n.k. Mpango huu nao ulishindwa kutokana na serikali ya ccm kuyatambua malengo ya mpango huo hivyo kuchukua tahadhari kwa umakini.

3: Kuiga mpango wa machafuko Libya, Tunisia na Misri: Mpango huo uliigwa na chadema kwa kuendesha maandamano nchi nzima wakidhani kuwa ingeweza kuwa njia rahisi ya wao kuingia ikulu. Mpango huu ulishindwa kwa kuwa haukuwa mwafaka na wenye tija kwa watanzania. Yaliyokuwa yakizikabili nchi hizo tatu na hasa influence za kiuchumi kwa mataifa ya magharibi hazikufanana na za TZ. Hivyo mpango huo ulikufa kifo cha mende.

4: Migomo ya w.kazi na wnfunzi vyuo vikuu: Chadema kilitumia mbinu ya kuwafarakanisha w.funzi vyuo vikuu na w.kazi na serikali. Kwa w.kazi walitumia kigezo cha mishahara na kwa w.funzi walitumia kigezo cha mikopo na fedha za kujikimu. Katika hoja zao walidai kuwa ccm ndiyo inayokwamisha maboresho ya maslahi yao. Mbinu hiyo ilifanikiwa kwa muda mfupi kwani ni kweli wafanyakazi na wanafunzi waliichukia serikali ya ccm na kuiadhibu vikali wakati wa uchaguzi mkuu. Hata hivyo hila hiyo kwasasa haina nguvu na imeshindwa kabisa kwani wanafunzi na wafanyakazi wamekwishabaini hila za chadema katika kuwatumia wao kama daraja la kufamikishia malengo yao ya kisiasa.

5: Operations sangara, m4c n.k: Operations hizi ziliambatana na vitendo viovu vya ma..u...aji kwenye mikutano. Kwa mazingira tata ya mauaji (ukiondoa la Mwangosi) katika mikutano hiyo mtu yeyote mwenye akili timamau unabaini kuwa mauaji hayo yalikuwa yakipangwa na chadema wenyewe ili kuuhadaa ulimwengu kuwa ccm ndiyo inafanya mauaji hayo. Mifano iliyopo ni mauaji ya muuza magazeti Morogoro, mauaji Igunga, mauaji huko Arusha na matukio tata ya milipuko ya mabomu Mwanza. Mbinu hii imeonekana kushindwa kwakuwa watanzania wamewashtukia. Hata hivyo mbinu hii inaonekana kutaka kubadilishwa. Tumeshuhudia juzi kiongozi wa Tahiliso huko Mwanza eti alitekwa na badae kuachiwa bila kudhuriwa!.

6: Uchonganishi wa kidini: Yaliyotokea huko kanda ya ziwa wakati waislamu na wakristu wakigombea kuchinja, yana sura ya kisiasa na yalisukwa kwa ustadi wa hali ya juu. Lengo la mpango huu lilikuwa kuwafarakanisha waislamu na wakristu na kikubwa kilicholengwa kilikuwa ni kuibua vita ya udini ili mchi isitawalike kama ilivyokuwa imeahidiwa. Tunamshukuru Mungu hilo nalo lilishindwa.

7: Kushadidia upande wa maadui- mgogoro wa malawi/Rwanda vs Tanzania: Siyo siri, wakati mgogoro huo umepamba moto ilitushangaza tulio wengi kuona baadhi ya viongozi wa chadema wakitoa matamko yaliyoonesha kubeza msimamo wa serikali katika kutetea maslahi ya nchi. Baadhi yao walisikika wakishabikia kuwa eti malawi ilikuwa na haki kwenye mpaka huku wengine wakishabikia na kuwatisha watz kuwa PAKA ana nguvu kubwa ya kijeshi hivyo angetutwanga. Ilinishangaza sana. Hata hivyo ushabiki huo haukuungwa mkno na.watz hivyo haukuwa na madhara yoyote kwa taifa.

8: UKAWA: Mbinu iliyopo mikononi.mwa chadema (kwa ulaghai wa kuvishirikisha vyama vingine) kwa sasa ni huo unaoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi. Lengo la umoja huo unaelezwa kuwa ni kutetea mapendekezo ya Warioba kuwa ndiyo mawazo sahihi ya wananchi. Wameibeba agenda hiyo wakiamini kuwa ndiyo kete yao ya mwisho. Wanaamini kuwa mapendekezo ya Warioba si rafiki kwa Muungano hivyo wamewalaghai CUF na NCCR kuwa kwa mapendekezo hayo yatawawezesha "kugawana madaraka", CUF ikichukua Zanzibar na CHADEMA bara "tanganyika". Katika hili wanajua madhara ya kuuvunja/kuudhoofisha muungano lakini kwasababu ya madaraka tu wamepiga haidhuru!.

My take: chadema wana mipango mingi isiyo na dhamira njema kwa mstakabali wa Tanzania. Wameamua kufanya lolote alimradi liwaingize Ikulu. Ninawapongeza baadhi ya viongozi na wanachama.wa chadema ambao kila mmoja kwa wakati wake wanaendelea kubaini uovu ulioko ndani ya chama hicho na hivyo wanajitoa na kuhamia vyama vingine vya siasa.

Niwaombe chadema kuwa, waendeshe siaasa zao huku wakiongozwa na uzalendo na mapenzi kwa nchi yao na watanzania wenzao. Waache siasa za kilaghai za kuwaonesha wananchi kuwa wao ndiyo watetezi wao huku nyuma ya pazia wao ndiyo wabaya wao.
 
I thought the content is printed in English too.

Ongeza na hizi Mkuu, hawa CHADEMA wamefail kabisa hawa
-Maisha kwa Kila Mtanzania yanawezekana
-Kilimo Kwanza
-Mapinduzi ya Kijani
-Kuvua Gamba
-kasi Mpya, Nguvu Mpya na Hari Mpya
-Big Results Now
-Ilani ya Uchaguzi ya Chama 2005
-Ilani ya uchaguzi ya Chama 2010
- Dira ya Maendeleo ya Taifa 2013,2014
 
Khaa!! Kamanda Uli?? Banda dogo??? Na juzi wa kule Mwanza??
 
1) Ufisadi- meremeta,EPA - BOT,escrow cash - BOT,uswisi cash,Rada scandal n.k
2) Nchi kutotawalika - Deni la taifa ni janga na ni dalili za kufirisika na kutojitawala kama nchi, mfumuko wa bei; mfano. Mkate kutoka Shs.250/= (2005) hadi Tzs.1,200/= (2010). Sarafu kuporomoka uthamani ukilinganisha na dola ya marekani.
3) Kuiga kama Libya - ni zao la kuwa na katiba mpya ambayo CCM walilidhia kwa shingo upande huku wananchi wakiaminishwa kwenye kikombe cha babu wa waloliondo.
4)Migomo ya wafanyakazi - CCM watu wa kujichotea pesa huku wakiwasahau wafanyakazi. Chukulia mfano walimu wa shule za misingi kuingia kwenye migomo kwa sababu ya masilahi duni matokeo yake kuporomoka kwa ufaulu wa wanafunzi. Mmeshusha mpaka ufaulu kwa maana ya grade ili kupisha aibu.
5) Operation sangara na mauaji - walioua wananchi hao ni Serikali kwa maelekezo ya CCM ili kulazimisha kubaki madarakani. Dola kama za Rumi mpaka leo ni historia na hakika CCM itakuwa historia one day!
6) Uchonganishi wa kidini - CCM waliwaahidi waislamu kuwapa mahakama ya kadhi kwenye ilani ya uchaguzi huku wakijua ni kinyume cha katiba. wakawaacha wakristo na waislamu wagombane kuhusu suala hilo na limeleta ufa mpana sana na CCM wakishapata mtaji wa kupigiwa Kura. hizi ni mbinu za kishetani.
7) Mgogoro wa rwanda - Kama jumuia ya afrika mashariki je, haikuwa vyema kutafuta suluhu kwanza ndani ya umoja ili kutoleta mpasuko uliopo? suala hili litatuchukua muda mrefu sana kuwa pamoja!!
8) UKAWA - CCM hamuwezi kuwa amulia watu wasifanye muungano wowote ili mradi tu hakuna kilichovunjwa kikatiba. Mbona ndani ya bunge lenyewe waliutambua. Shida yako ni kubwa ni HOFUUU(FEAR). Ni hii itawanyonga tu.pole.

Unashauri waendeshe siasa za uzalendo: Lini CCM waliendesha siasa za uzalendo. by the way siasa za ccm za uzalendo ni kama hapo juu namba 1.

ASANTE
 
At least wewe umetukumbusha Mbinu chafu zote za hawa majamaa!!!
 
Nashangaa kila Thread nikifungua nakutana na My Perception, inawasema CHADEMA. sihitaji uzi huu nataka umeme
 
1: ufisadi; mpango uliolenga kuichonganisha serikali ya ccm na wananchi. Mpango umeshindwa na hausikiki tena.

2: Nchi kutotawalika; mpango huu ulilenga kuwatia hasira wananchi mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 ili waikatae serikali ya ccm kupitia mpango wa kutotii sheria na baadae mapinduzi. Mpango huu ulitekelezwa kwa matamko ya mfululizo yasiyo na tija dhidi ya serikali, uchochezi wa kuihusisha serikali na maovu mbalimbali yakiwemo mauaji ya raia n.k. Mpango huu nao ulishindwa kutokana na serikali ya ccm kuyatambua malengo ya mpango huo hivyo kuchukua tahadhari kwa umakini.

3: Kuiga mpango wa machafuko Libya, Tunisia na Misri: Mpango huo uliigwa na chadema kwa kuendesha maandamano nchi nzima wakidhani kuwa ingeweza kuwa njia rahisi ya wao kuingia ikulu. Mpango huu ulishindwa kwa kuwa haukuwa mwafaka na wenye tija kwa watanzania. Yaliyokuwa yakizikabili nchi hizo tatu na hasa influence za kiuchumi kwa mataifa ya magharibi hazikufanana na za TZ. Hivyo mpango huo ulikufa kifo cha mende.

4: Migomo ya w.kazi na wnfunzi vyuo vikuu: Chadema kilitumia mbinu ya kuwafarakanisha w.funzi vyuo vikuu na w.kazi na serikali. Kwa w.kazi walitumia kigezo cha mishahara na kwa w.funzi walitumia kigezo cha mikopo na fedha za kujikimu. Katika hoja zao walidai kuwa ccm ndiyo inayokwamisha maboresho ya maslahi yao. Mbinu hiyo ilifanikiwa kwa muda mfupi kwani ni kweli wafanyakazi na wanafunzi waliichukia serikali ya ccm na kuiadhibu vikali wakati wa uchaguzi mkuu. Hata hivyo hila hiyo kwasasa haina nguvu na imeshindwa kabisa kwani wanafunzi na wafanyakazi wamekwishabaini hila za chadema katika kuwatumia wao kama daraja la kufamikishia malengo yao ya kisiasa.

5: Operations sangara, m4c n.k: Operations hizi ziliambatana na vitendo viovu vya ma..u...aji kwenye mikutano. Kwa mazingira tata ya mauaji (ukiondoa la Mwangosi) katika mikutano hiyo mtu yeyote mwenye akili timamau unabaini kuwa mauaji hayo yalikuwa yakipangwa na chadema wenyewe ili kuuhadaa ulimwengu kuwa ccm ndiyo inafanya mauaji hayo. Mifano iliyopo ni mauaji ya muuza magazeti Morogoro, mauaji Igunga, mauaji huko Arusha na matukio tata ya milipuko ya mabomu Mwanza. Mbinu hii imeonekana kushindwa kwakuwa watanzania wamewashtukia. Hata hivyo mbinu hii inaonekana kutaka kubadilishwa. Tumeshuhudia juzi kiongozi wa Tahiliso huko Mwanza eti alitekwa na badae kuachiwa bila kudhuriwa!.

6: Uchonganishi wa kidini: Yaliyotokea huko kanda ya ziwa wakati waislamu na wakristu wakigombea kuchinja, yana sura ya kisiasa na yalisukwa kwa ustadi wa hali ya juu. Lengo la mpango huu lilikuwa kuwafarakanisha waislamu na wakristu na kikubwa kilicholengwa kilikuwa ni kuibua vita ya udini ili mchi isitawalike kama ilivyokuwa imeahidiwa. Tunamshukuru Mungu hilo nalo lilishindwa.

7: Kushadidia upande wa maadui- mgogoro wa malawi/Rwanda vs Tanzania: Siyo siri, wakati mgogoro huo umepamba moto ilitushangaza tulio wengi kuona baadhi ya viongozi wa chadema wakitoa matamko yaliyoonesha kubeza msimamo wa serikali katika kutetea maslahi ya nchi. Baadhi yao walisikika wakishabikia kuwa eti malawi ilikuwa na haki kwenye mpaka huku wengine wakishabikia na kuwatisha watz kuwa PAKA ana nguvu kubwa ya kijeshi hivyo angetutwanga. Ilinishangaza sana. Hata hivyo ushabiki huo haukuungwa mkno na.watz hivyo haukuwa na madhara yoyote kwa taifa.

8: UKAWA: Mbinu iliyopo mikononi.mwa chadema (kwa ulaghai wa kuvishirikisha vyama vingine) kwa sasa ni huo unaoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi. Lengo la umoja huo unaelezwa kuwa ni kutetea mapendekezo ya Warioba kuwa ndiyo mawazo sahihi ya wananchi. Wameibeba agenda hiyo wakiamini kuwa ndiyo kete yao ya mwisho. Wanaamini kuwa mapendekezo ya Warioba si rafiki kwa Muungano hivyo wamewalaghai CUF na NCCR kuwa kwa mapendekezo hayo yatawawezesha "kugawana madaraka", CUF ikichukua Zanzibar na CHADEMA bara "tanganyika". Katika hili wanajua madhara ya kuuvunja/kuudhoofisha muungano lakini kwasababu ya madaraka tu wamepiga haidhuru!.

My take: chadema wana mipango mingi isiyo na dhamira njema kwa mstakabali wa Tanzania. Wameamua kufanya lolote alimradi liwaingize Ikulu. Ninawapongeza baadhi ya viongozi na wanachama.wa chadema ambao kila mmoja kwa wakati wake wanaendelea kubaini uovu ulioko ndani ya chama hicho na hivyo wanajitoa na kuhamia vyama vingine vya siasa.

Niwaombe chadema kuwa, waendeshe siaasa zao huku wakiongozwa na uzalendo na mapenzi kwa nchi yao na watanzania wenzao. Waache siasa za kilaghai za kuwaonesha wananchi kuwa wao ndiyo watetezi wao huku nyuma ya pazia wao ndiyo wabaya wao.
Poor you,so the problem of this country is CHADEMA?please tackle issues which makes this country man made poor that is what should be an objective and what is the best way forward,chadema has no gripe with live animals exported,EPA,deep green,kagoda,gold,radar,Richmond and above all escrow etc etc and many more!please stick on issues not personalities and blah!blah...
 
What are evil plans of yourself??? Shem on you
 
very nice articulated points. Thanks for summarizing all of these evil plan from kadima. na zaidi ya hapo nimelipenda lile jina la PAKA.

Ujinga mwingine ukiusoma mpaka unapata kichechefu, eti nawewe ulikaa kuandika na kujisifu moyoni mwako, nina mashaka na elimu yako nikiachilia mbali hata uelewa wako finyu zaidi
 
Nimewadharau sana na kuwapuuza.
 
Kuna thread humu jamvini ina malaria , leo hii Mtanzania aliye hai ajui ata madhara ya masuala kama ya Rada , pesa za uswisi , EPA etc kwa uchumi wa Tanzania ? Ubongo bikra at work.
 
Duh! kama hio ndo heshima ya kitambi, basi leo umewadhalilisha wenye vitambi kwa hii thread! au wewe ndo Kpt Komba nini?
 
Ujinga mwingine ukiusoma mpaka unapata kichechefu, eti nawewe ulikaa kuandika na kujisifu moyoni mwako, nina mashaka na elimu yako nikiachilia mbali hata uelewa wako finyu zaidi

You may have been conceived unknowingly!. Go for checkup little scu....mbag!. Hiwezekani ukajisikia kichefuchefu hivihivi, lazima watu walisharutubisha.
 
Back
Top Bottom