mwaka huu nimeweka mipango na malengo yangu
kama ifuatavyo...
1.kutulia na mwanamke mmoja tu.
ikibidi kumchukua jumla,to make it official.
2.kuto ongea kitu chochote kile ambacho
ni unproductive au ni negative kwa jamii na wanaonizunguka.
3.kutoshiriki kwa namna yeyote ile katika kuirudisha
nyuma nchi yangu,familia yangu na my people kwa ujumla.
4.to always be the force for positive and good
things..
5.to ignore all haters.and keep living a happy life.
6.kutoa mchango wangu wa kutosha jamiiforums.
both financially na wa mawazo.
7.to avoid mood killers,and smile a lot.
8.to do some charity works...
9.to make some real cash quietly.....
happy new year people......