Ni mtu wa pili ww naona unamshaur kuhusu hilo jinaUmejaribu kwenda na biti, IPO vizuri.
Jina lako la zero IQ ndilo litakalokuangusha...chagua jina lenye maana njema
Kaza but utatoka tu
Hii ni moja ya Nyimbo zangu wana Jf kama kuna ambae atapenda tufanye kazi yaani anisimamie katika kazi zangu kwa sababu sasa hivi niko mimi kama mimi kuna baadhi ya vitu nakwama kuvifanikisha.
Na maoni yenu wana Jf kwa ujumla.