My lil trip in India, the Filthy Country [Photos]

asnthe ni suala zima la kuwa positive na mazingira ya watu na hata tamaduni zao.....tunakosea sana kuwa watu wa mtari wa mbele ku judge watu na tamaduni zao huu si wenyewe zetu zinatushinda.
 
What's all the fuss about india anyway. I'm usually surprised when africa(ns) try to diss india. I guess guys think that india is in the same league as africa, or maybe they share some things in common or something of that sort.
Crap!!
It's not constructive at all.
 
Hii ni kweli kabisa, angalia maeneo ambayo Wahindi wanakaa ndio machafu kuliko sehemu za watu wengine wanapokaa...! I guess uchafu ni sehemu ya culture ya wahindi...!
 

(Cough), (Cough)........


OOpppps . Somebody just got Served !!!!!!!!
 
Hujaenda Varanas,allahabad na Bihari......ni kuchafu sana.ila hawa watu wako mbele sana kuliko sisi especially kwenye infrastructure.Nenda Punjab,Rohtak,chandighah etc...kumeendelea sana
 
Close the thread already! Enough with the India bashing. Kweli nyani halioni kundule.
BTW, thread-starter, dude did not even have the alleged "My lil' trip to India", these photos are a copy-write at Chinasmack.com. Such a pity.
 
Kweli India ni kuchafu kuliko maelezo
 
...tungeweza kujua India ni kuchafu bila kutuwekea these,very disturbing pictures..:redfaces:
 
...tungeweza kujua India ni kuchafu bila kutuwekea these,very disturbing pictures..:redfaces:

sio siri kuna watu wanaishi kwenye uchafu uliokithiri, nakwambia kweli ukijitumbukiza kwenye hayo maji utatoka na upele ambao hujategemea, hivi kuoga na kinyesi na maiti zilizooza , jeez
 
Muanzisha thread kuna baadhi ya picha ungeziondoa ningechangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…