Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Salamu wakuu, simu yangu note1 inagoma kubrowse internet connection sizani kama kuna shida maana naweza kuchat watsapp,facebook,instagram na kudownload via playstore ila nikiingia kwenye internet explore na browser nyingne inakataa... mwenye uelewa na hili naomba msaada....