Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Hahaha nyie si mlikuwa loose all weekdays that's yHalafu sisi tunakasirika mnakuja 'kutupumzikia' ila fisi zinaisubiri weekend kwa hamu kupata swala wa kupapasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wapoHizi mamo zinafurahisha sana, unaficha mwaka wa kumaliza chuo lakini unaandika tukio ulilolifanya. Una uhakika JF yote ulikua peke yako kwamba hakuna atakekumbuka ulivyosema wewe unataka kuwa Condoleezer akajua wewe ni nani?
Bado nadhani skirt ya rinda box inakutoa na zile hips (bastola) hazijapungua. [emoji2] [emoji2] Mimi sikuwa fisi kwa kweli japo mate yalinidondokaHahaha nyie si mlikuwa loose all weekdays that's y
Natumia hukuwa kwenye team mafisi ahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah sina hips banaBado nadhani skirt ya rinda box inakutoa na zile hips (bastola) hazijapungua. [emoji2] [emoji2] Mimi sikuwa fisi kwa kweli japo mate yalinidondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akiwa muongo utamjua tu201... Raisi bush?
Huyu anajichanganya,ameshindwa kupanga uongo wake vizuri ili alete jukwaani,Hopeless kabisaUmesoma stor yako? chuo umeenda 201.. saivi 200..
Now I'm a grown up man, no longer a boy! Siku zile zingerudi, zikikuwa nzuri sanaHahahah sina hips bana
Kama hukuwa team mafisi then you are a good boy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika zilikuwa tamu sanaNow I'm a grown up man, no longer a boy! Siku zile zingerudi, zikikuwa nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukirudi Moshi unitafte tukumbushie 'joint mass' na 'weekend discussion'Hakika zilikuwa tamu sana
Nakumbuka madisko ya welcome form 1/5
Either boyzia,warsaw ama milambo
Joint mass za student centre na mashuleni
Ohh how I miss Tabora
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah uko moshi mkuu?Ukirudi Moshi unitafte tukumbushie 'joint mass' na 'weekend discussion'
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefika, ntakukumbusha manake mda wa kuhesabiwa unakaribia.Hahahah uko moshi mkuu?
Nikija ntakutafuta usijali
Kuna boss wangu yupo kanda hapo town msalimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
OkHahaha wabongo msiniletee matatizo
Nilimaanisha nafanya kazi govt ,ok?
Sent using Jamii Forums mobile app
I was going to say this, 2010 rais alikuwa Obama201... Raisi bush?