The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
-
- #41
Ok but am sorryRelax madame!
Si umesema you're feeling like the African Condoleezer?
So what's the panic for?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwambia ivyo ataelewa.Mhhhhh,who is this G?
Namfahamu boyfriend wake alikuwa anaitwa A....
G simjui,anyway gnt
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ndo sikuelewa sorrOk may be nimekosea
By 201. ..ndo tulikuwa tunasepa I think
Sorry
Sent using Jamii Forums mobile app
YepMe ndo sikuelewa sorr
kumbe umeingia 2008
MSALIMIE T DAH KITAMBO SANA HUTUJAONANAHabari za usiku wana jamii forum wenzangu.
Mungu ni mwema kila wakati.Nilimaliza chuo kikuu mnamo mwaka 201..Sintazijaza dash nilizoziacha ili nisigundulike identity yangu.Wakati naanza mwaka wa kwanza chuoni,naikumbuka siku ilikuwa j3 kwenye saa 3.30 asubuhi tuko lecture room ,wakaja walimu,tunawaita lectures kwa vyuoni ,walikuwa 4,wanawake 2 na wanaume 2 darasani kwetu, tulikuwa kama wanafunzi 80 hivi ,foreigners wakiwa kama 12.Wakatusalimu ,wakajitambulisha then wakaketi mbele.Akaamka mwalimu mmoja mwanamke Madame M,akatuhitaji kila mwanafunzi ajitambulishe then aseme kwanni amekwenda kusoma pale tena course ile.
Nakumbuka nilikuwa nimekaa back bencher kwani nilichelewa nikiwa na shosti yangu T.wakaanza kujitambulisha walokaa mbele na sababu zilizofanya wachague chuo kile na especially course ile.Sikuwa nafatilia.Nilimute tu nyuma nikiwaza ya kwangu.
Basi bana ikafika zamu yangu halafu sina hata habari,nikamsikia Madame M akinambia, binti ulovaa top ya kijani tuambie sababu zilizokufanya uje. ..University,shosti yangu T akanambia B simama ujibu,heee nikawaza kumbe imefika zamu yangu?but nikasimama
Ila nikawa naangalia kwenye room usikute nimedandia nafasi ya mtu. Heee kusimama naona watu wote macho kwangu,Madame M akarudia ok mrembo tuambie kwanini umekuja....University?Utaje na shule ulotoka .
Nikajikaza nikajitambulisha,eer my name is The iron Batterfly,am coming from Tabora girls high school.Well I came into ... University because I want to be like Condoleezer rice.Thank you.Nilipomaliza tu si walimu wala wanafunzi kila mtu aliangua kicheko kikali,mwenyewe nilicheka sana.
Kwa enzi hizo condoleezer rice alikuwa ndo Secretary of state wa USA afu tishio America na dunia nzima watu walikuwa wanasema yeye ndo raisi wa UAS,George Bush alikuwa raisi kivuli.
Next time ntawaletea story nilivyograduate nikarudi kitaa hadi kuingia kwenye system.Haikuwa rahisi but I did it.That's y hadi leo najiona condoliza rice wa Africa Ajaye.It's about 7 years since all this happened.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well, I'm such a thinker!Ok but am sorry
Siko huko unakofikiri
Kwann hujadil kituko kilichonitokea chuon those days ?Kwan ndo kiini cha hii thread
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaah ila wee jamaa!ningesoma hadi chuo ningekua kama ww
Binti wa 'warsaw', kuanzia 2008 USA rais alikuwa Obama tayari. Sasa ukisema Huyo mama kuwa alikuwa rais na Bush kivuli huoni kama unapoteza mantiki? Au viazi vya Shamban hapo shuleni hukula vizuri miaka hiyo [emoji41]Habari za usiku wana jamii forum wenzangu.
Mungu ni mwema kila wakati.Nilimaliza chuo kikuu mnamo mwaka 201..Sintazijaza dash nilizoziacha ili nisigundulike identity yangu.Wakati naanza mwaka wa kwanza chuoni,naikumbuka siku ilikuwa j3 kwenye saa 3.30 asubuhi tuko lecture room ,wakaja walimu,tunawaita lectures kwa vyuoni ,walikuwa 4,wanawake 2 na wanaume 2 darasani kwetu, tulikuwa kama wanafunzi 80 hivi ,foreigners wakiwa kama 12.Wakatusalimu ,wakajitambulisha then wakaketi mbele.Akaamka mwalimu mmoja mwanamke Madame M,akatuhitaji kila mwanafunzi ajitambulishe then aseme kwanni amekwenda kusoma pale tena course ile.
Nakumbuka nilikuwa nimekaa back bencher kwani nilichelewa nikiwa na shosti yangu T.wakaanza kujitambulisha walokaa mbele na sababu zilizofanya wachague chuo kile na especially course ile.Sikuwa nafatilia.Nilimute tu nyuma nikiwaza ya kwangu.
Basi bana ikafika zamu yangu halafu sina hata habari,nikamsikia Madame M akinambia, binti ulovaa top ya kijani tuambie sababu zilizokufanya uje. ..University,shosti yangu T akanambia B simama ujibu,heee nikawaza kumbe imefika zamu yangu?but nikasimama
Ila nikawa naangalia kwenye room usikute nimedandia nafasi ya mtu. Heee kusimama naona watu wote macho kwangu,Madame M akarudia ok mrembo tuambie kwanini umekuja....University?Utaje na shule ulotoka .
Nikajikaza nikajitambulisha,eer my name is The iron Batterfly,am coming from Tabora girls high school.Well I came into ... University because I want to be like Condoleezer rice.Thank you.Nilipomaliza tu si walimu wala wanafunzi kila mtu aliangua kicheko kikali,mwenyewe nilicheka sana.
Kwa enzi hizo condoleezer rice alikuwa ndo Secretary of state wa USA afu tishio America na dunia nzima watu walikuwa wanasema yeye ndo raisi wa UAS,George Bush alikuwa raisi kivuli.
Next time ntawaletea story nilivyograduate nikarudi kitaa hadi kuingia kwenye system.Haikuwa rahisi but I did it.That's y hadi leo najiona condoliza rice wa Africa Ajaye.It's about 7 years since all this happened.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo Mimi ulimwengu ulikuwa unawaza hayo coz she was very powerfulBinti wa 'warsaw', kuanzia 2008 USA rais alikuwa Obama tayari. Sasa ukisema Huyo mama kuwa alikuwa rais na Bush kivuli huoni kama unapoteza mantiki? Au viazi vya Shamban hapo shuleni hukula vizuri miaka hiyo [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamkini wewe ndo ulikuja discussion pale Berlin tukakaa dawati mojaSiyo Mimi ulimwengu ulikuwa unawaza hayo coz she was very powerful
Stronger than Bush mwenyewe
Vp umepita Berlin nn?aka Boyziaa hahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
201.... ili isigundulike kasha unasema ITS ABOUT 7 YEARS SINCE ALL THIS HAPPENED hehehehheheHabari za usiku wana jamii forum wenzangu.
Mungu ni mwema kila wakati.Nilimaliza chuo kikuu mnamo mwaka 201..Sintazijaza dash nilizoziacha ili nisigundulike identity yangu.Wakati naanza mwaka wa kwanza chuoni,naikumbuka siku ilikuwa j3 kwenye saa 3.30 asubuhi tuko lecture room ,wakaja walimu,tunawaita lectures kwa vyuoni ,walikuwa 4,wanawake 2 na wanaume 2 darasani kwetu, tulikuwa kama wanafunzi 80 hivi ,foreigners wakiwa kama 12.Wakatusalimu ,wakajitambulisha then wakaketi mbele.Akaamka mwalimu mmoja mwanamke Madame M,akatuhitaji kila mwanafunzi ajitambulishe then aseme kwanni amekwenda kusoma pale tena course ile.
Nakumbuka nilikuwa nimekaa back bencher kwani nilichelewa nikiwa na shosti yangu T.wakaanza kujitambulisha walokaa mbele na sababu zilizofanya wachague chuo kile na especially course ile.Sikuwa nafatilia.Nilimute tu nyuma nikiwaza ya kwangu.
Basi bana ikafika zamu yangu halafu sina hata habari,nikamsikia Madame M akinambia, binti ulovaa top ya kijani tuambie sababu zilizokufanya uje. ..University,shosti yangu T akanambia B simama ujibu,heee nikawaza kumbe imefika zamu yangu?but nikasimama
Ila nikawa naangalia kwenye room usikute nimedandia nafasi ya mtu. Heee kusimama naona watu wote macho kwangu,Madame M akarudia ok mrembo tuambie kwanini umekuja....University?Utaje na shule ulotoka .
Nikajikaza nikajitambulisha,eer my name is The iron Batterfly,am coming from Tabora girls high school.Well I came into ... University because I want to be like Condoleezer rice.Thank you.Nilipomaliza tu si walimu wala wanafunzi kila mtu aliangua kicheko kikali,mwenyewe nilicheka sana.
Kwa enzi hizo condoleezer rice alikuwa ndo Secretary of state wa USA afu tishio America na dunia nzima watu walikuwa wanasema yeye ndo raisi wa UAS,George Bush alikuwa raisi kivuli.
Next time ntawaletea story nilivyograduate nikarudi kitaa hadi kuingia kwenye system.Haikuwa rahisi but I did it.That's y hadi leo najiona condoliza rice wa Africa Ajaye.It's about 7 years since all this happened.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nakumbuka enzi za kwenda discussion Tabora boysYamkini wewe ndo ulikuja discussion pale Berlin tukakaa dawati moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax its Sunday you know201.... ili isigundulike kasha unasema ITS ABOUT 7 YEARS SINCE ALL THIS HAPPENED hehehehhehe
funny
Halafu sisi tunakasirika mnakuja 'kutupumzikia' ila fisi zinaisubiri weekend kwa hamu kupata swala wa kupapasa.Hahaha nakumbuka enzi za kwenda discussion Tabora boys
Tulikuwa tunazisubiri kwa hamu kweli kweli
Mama malezi alikuwa anatufungia ndani kama kuku hakuna kutoka hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app