My first day at the University.

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Habari za usiku wana jamii forum wenzangu.

Mungu ni mwema kila wakati.Nilimaliza chuo kikuu mnamo mwaka 201..Sintazijaza dash nilizoziacha ili nisigundulike identity yangu.Wakati naanza mwaka wa kwanza chuoni,naikumbuka siku ilikuwa j3 kwenye saa 3.30 asubuhi tuko lecture room ,wakaja walimu,tunawaita lectures kwa vyuoni ,walikuwa 4,wanawake 2 na wanaume 2 darasani kwetu, tulikuwa kama wanafunzi 80 hivi ,foreigners wakiwa kama 12.Wakatusalimu ,wakajitambulisha then wakaketi mbele.Akaamka mwalimu mmoja mwanamke Madame M,akatuhitaji kila mwanafunzi ajitambulishe then aseme kwanni amekwenda kusoma pale tena course ile.

Nakumbuka nilikuwa nimekaa back bencher kwani nilichelewa nikiwa na shosti yangu T.wakaanza kujitambulisha walokaa mbele na sababu zilizofanya wachague chuo kile na especially course ile.Sikuwa nafatilia.Nilimute tu nyuma nikiwaza ya kwangu.

Basi bana ikafika zamu yangu halafu sina hata habari,nikamsikia Madame M akinambia, binti ulovaa top ya kijani tuambie sababu zilizokufanya uje. ..University,shosti yangu T akanambia B simama ujibu,heee nikawaza kumbe imefika zamu yangu?but nikasimama
Ila nikawa naangalia kwenye room usikute nimedandia nafasi ya mtu. Heee kusimama naona watu wote macho kwangu,Madame M akarudia ok mrembo tuambie kwanini umekuja....University?Utaje na shule ulotoka .

Nikajikaza nikajitambulisha,eer my name is The iron Batterfly,am coming from Tabora girls high school.Well I came into ... University because I want to be like Condoleezer rice.Thank you.Nilipomaliza tu si walimu wala wanafunzi kila mtu aliangua kicheko kikali,mwenyewe nilicheka sana.

Kwa enzi hizo condoleezer rice alikuwa ndo Secretary of state wa USA afu tishio America na dunia nzima watu walikuwa wanasema yeye ndo raisi wa UAS,George Bush alikuwa raisi kivuli.

Next time ntawaletea story nilivyograduate nikarudi kitaa hadi kuingia kwenye system.Haikuwa rahisi but I did it.That's y hadi leo najiona condoliza rice wa Africa Ajaye.It's about 7 years since all this happened.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uandishi wako tu ni kipimo cha uschana....
 
Nilichopenda nikwamba unajua siasa.

Mwanafalsafa mmoja aliwah sema " Ukiwa hujui lolote kuhusu siasa basi hata uwezo wako wa akili unakua mdogo".
Hahaha serious?
Ok ila nimesoma science then chuo nikaja soma politics
So u can imagine mtu alosoma pcm, uje umpe hgl atabutua vibaya mno


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wa chuo wanaitwa "Lecturers"

"Lectures" ni vipindi ambavyo hao walimu watafundisha.

Wewe uko chuo mpaka unamaliza hujui mwalimu wa chuo anaitwaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahhh safi sana ,ndo maana unaonekana Kipanga, unajua watu wa sayans wako vzur kotekote

Unaonekana hata kimavazi unavaa surual sana eeeh
No
Zamani ndo nilikuwa navaa trousers sana
Nilipoanza kazi walinipiga stop nikaacha
Nikivaa trouser labda weekend mate moja moja sana siku hizi
Mazingira yamenishape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…