Tatizo kubwa ni kuwa Wabara wengi sio wastaarabu, Kimsingi unapokua ugenini unatakiwa ufate taratibu zao ukiona huziwezi rudi nyumbani. Wapemba wengi wanaishi hapa Dar, sio kama kila kinachotendeka kwenye huu mji wanakifurahia, ila kwa vile hapa sio kwao unawakuta wametulia wanapiga ishu zao kimya kimya na maisha yanaende. Tatizo kubwa ni kuwa Watanganyika wanalazimisha Zanzibar iwe kama wanavyotaka kitu ambacho hakitawezekanwa.