Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
we acha kumsingizia dady yangu hamcheat mamy cath labda umemfananisha lol!!!
Ngoja uone atakavyo chelewa kufika!
Chalinze moja...acha kunipakazia!!!
ruttashobolwa..simu imejaa..nmeshindwa kupiga picha. Ata pale rock hill restaurant nimeshindwa kupapiga foto..nmesikitikaje!weka picha ya gari ulilo panda
:welcome:dady yangu anarudi leo tumemuandalia msosi wa ukwee c mnajua jinsi mumy cathy akipika acha kabsa,halafu babu asprini ujitayarishe kujibu kesi ya zile picha wale mliokua mnazonga mumy cathy amemuambia dady mbona mtakoma,aunt b nasty tutaenda wote kumpokea
😛eep:mbona nime muona anaingia guest na mjimama wa hapa mjini. Au mkewe?
:gossip::banplease:rutaaa! Huyo atakuwa ni Asprin.
:ban:kweli kabisa nilichanganya ni Aspirin
Daughter, nilikuwa busy na maandalizi ya kumpokea dady wako, si unajua maandalizi ya mom yanakuwa tofauti kidogo. Love you my daughter.
Chalinze moja...acha kunipakazia!!!
weka picha ya gari ulilo panda
Apande gari wapi, kaniaga mama naenda home kwa bibi
kumbe kabana hapa hapa, mwache aje tu apambane na bili zake huku.