Boniphace17
Senior Member
- Jul 19, 2012
- 118
- 42
Absolutly ni bios password computer ni Dell latitude D620
Daah! wangu wewe ni genius...kweli aisee kuna key ilikua inazingua nimeunga external keyboard na imefaa..
Thanx again man!
Habari wanajukwaa!
Computer yangu ilikua imefungwa kwa password niliyokua nikiitumia kuwashia computer hiyo kwa zaidi ya mwaka sasa!
Cha kushangaza ghafla leo hii password hiyo imekataa na inaandika 'Invalid password'.
This is real strange to me! Tafadhali naomba kujua tatizo laweza kuwa wapi na nifanye nini kulitatua?
Ukizingatia hii siyo password ya windows but ya computer.
Umeiba hiyo sio yako!
Siyo vizuri kuropoka mambo usiyoyajua, kama hauna jinsi ya kumsaidia shida yake ni heri ukachuna tu.
We tulia utajifunza mengi humu!