My best shot...onyesha yako...

:thumbup::thumbup:
 

Attachments

  • 1444665408599.jpg
    39 KB · Views: 394
Kwanza nipongeze kwa kazi yangu nzuri, kisha nitakupa siri ya mafanikio yangu

Hongera sana.........umetumia camera gani kwenye picha zako......?........
 
Yangu hii hapa
 

Attachments

  • 1444673185188.jpg
    63.4 KB · Views: 260
Hongera sana.........umetumia camera gani kwenye picha zako......?........
Ahsante sana.

Umeona sasa, haya ndio maneno.

Nitakunong'oneza.

Si unajua tena kwenye kuku wengi
 
Ahsante sana.

Umeona sasa, haya ndio maneno.

Nitakunong'oneza.

Si unajua tena kwenye kuku wengi

Umsimnononez mpe ya moyoni. Usidanganyike kwa picha ya kupigwa gazetini. Huyu sijui kama anajua hata jikoni wanawake wanakaa je?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe umeonyesha ya simba hujaonyesha yako...

Halafu kuna mtu alinikoroga humu........alitumia avatar yako nikashindwa kujua ni wewe au.......na kuna kitu cha muhimu sana nilikua nataka nikueleze siku hiyo............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…