jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,746
- 1,531
yap nauelewa sana pia' binafsi napendelea sana hizi gospel songs za mbele, na list ya zaidi ya nyimbo 200Napenda kusikiliza Gospel..
mmoja wa wimbo niupendao ni "This is my desire"
nami ngoja nitafute nyimbo za hao jamaa mkuuGospel za wazungu huwa sizielewi kishenzi yaan
Nampenda kirk Franklin na donnie Mckurklin.
Ila zaid napenda South African Songs hapo ndio patamu
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuunami ngoja nitafute nyimbo za hao jamaa mkuu
Hawa watu wanaimba bwana, hata usipoelewa maneno the beat moves you. But they are blessed in singing.Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu
Joyous Celebration-Lord i can feel
Yaani ni kweli they are blessed kwa kuimbaHawa watu wanaimba bwana, hata usipoelewa maneno the beat moves you. But they are blessed in singing.
GOD bless them.
Mcheki na William Murphy nae yupo vizuri sanaGospel za wazungu huwa sizielewi kishenzi yaan
Nampenda kirk Franklin na donnie Mckurklin.
Ila zaid napenda South African Songs hapo ndio patamu
Ha ha haaaa. Mkuu mbona hata hizo huwa tunasikiliza, napenda nifundishe kunyamaza pia wa Martha Mwaipaja na tenzi za rohoni 114 utakavyoimbwa kwa tune yoyote ile.Uzungu unawazidi nyie sikilizeni ""ipo faida ""ya upendo nkone
Hillsongs nawakubali sana mkuu hasa ule wa Man of sorrow,You take me high,All i need is u Lorld hizi nyimbo nikizisikiliza huwa zinanibarki sanaMy best gospel song is 'In Christ alone' sung by the Hillsongs.