usengwili.....ngoja nijiandae kwa twisheni....
acha tu jirani....ila huu udot com ndo tabu mpaka nimtafute mkarimani.......
miye hiyo lugha yenu huwa nikiisoma kwa kiasi fulani naielewa ingawaje siijui kabisa!!
mie maneno machache sana nayaelewa......ila sasa niambie nikujibu kwa kilugha mwe....
ngoja nisepe hapa Erickb52 akitokea hapa atakusemelea na nisije nikamwagiwa tindikali bure...
Wangoni?
Mwawomba, mwakata, mpozile