Mwonile wana c-c


Ni kweli, nimepotea sana hapa. Ila ni kwa vile tunafunga kazi za mwaka huu hivyo ni safari za kila wakati kukagua uhai wa mradi mikoani. Kila siku nikuandika report tu! Jamani bado nipo, hizi pilikapilika nazimaliza mwezi huu. November i will be back in full swing!
 

Hahahahahahaah! Nimegunduaaah! Kuwa wewe ni mmoja kati ya wanaokula, kuvaa, kuongea na wake zao, na hata swagga zao ni kwa hisani ya watu wa......

Ila kazi ni utu, na utu ni uhuru, uhuru nao ni kazi!
 
Ni we nawi wa konikoni.. Basi keta nahaa tiyii tavamahele... Ni ne nani wa kolokola

mbona umeniacha njia panda.........huu u dot com unanipa shida....zaidi ya salam sijui kinachoendelea....
 
kwani wewe sio binti?
siku zote najua wewe binti...

Avatar The Boss, sometimes confusing, and to some is misleading, halafu kwako, nahisi ni mind set, nipo hapa for almost a year, The Boss, watch out your thoughts, they make up your words!
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijui hapanihusu!!!! Hata lugha yake sielewi
 
Avatar The Boss, sometimes confusing, and to some is misleading, halafu kwako, nahisi ni mind set, nipo hapa for almost a year, The Boss, watch out your thoughts, they make up your words!


Nafahamu upo hapa mda mrefu,
weka avatar ya kiume basi,mwanzo nilihisi kidume,hii avatar nikahisi mrembo..so...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…