moto2012 sasa mie hata salamu sijapata nimetajiwa shoo ambayo hata siijui?
Au kuna mtu anapiga shoo kwa jina la Kiranga bila hata kuomba ruhusa ya kutumia jina?
Maana naweza kuambuliwa kupigwa mawe kisa sijafika kwenye shoo, kumbe wajanja washachikichia hela zote za tiketi
Mwatunyima chani Bujibuji
ngumi zitakapoanza mi simo!
khaaaaaaaaaaaaa!
yani nimeshachora mstari kati ujue!hahahah...naona kacheki avatar basi akapigia jibu mstari
Khaa! Avatar ?
Sijui niitikieje
iwe, mlishaniMwatunyima chani Bujibuji
Hii swagga inaviini vya Bombii Nyumbii, Ushalishwa maneno na Ngalikihinja nini?