Afuui loan board wanataka kupiga pesa,,, watoto Wanaomba mkopo hata matokeo hayajatoka,,, naona wahitimu wote form six wakikusanya 30,000 kwenye account ya loan board mwisho wa siku matokeo yanatoka, wenyewe wanaanza kujiengua,,, ,,,bila shaka wanakusanya mabillion duuu