Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
sijajua ni nini N computing, ila nna swali na mimi una nini kinachopeleka signal za video kwenye hizo monitor tofauti? ni gpu? hebu anza na hapo huenda ndio kuna matatizo. sababu server ndio mama huenda ndio maana haijaathiriwa na tatizo la kipeleka signal
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa baada ya muda ni kuwa zikaanza kusumbua moja baada ya nyimgine na hatimaye leo zimegoma zote kasoro server tu.
configuration yake ni kuwa server/CPU moja inapeleka monitor sita tofauti, hapa ni kuwa tano zimegoma so kazi inafanyika kwenye server tu.
Cc: CHIEF MKWAWA , ymollel , Young Master