mwanzisha mada samhani kama nitakuwa nimechafua uzi wako au kuandika kitu kisicho stahili na mm nimeshatafuta sana kujifunza kitu kama hicho lkn sijajua hasa kitaalam niangukie wapi??
mm ni fundi umeme wa magari so kuna ishu za kuprogram funguo,ecu programming,airbag reset,digital odometer programming ,car redio decoding n.k
hivyo vitu vyote huwa tunavifanya na mashine ni mambo ya ku copy na kupast.au una press ok na kufuata maelekezo tena unabonya okey mpaka unamaliza laini mm nilikuwa natamani sana kufaham kuandika au ni lugha gani au ni nn kimeandikwa au kinamaanisha nini hasa kwenye zile chip EEPROM?? maana humo ni mwendo wa hexadecimal na bir