siku moja mwalimu wa sayansi aliingi darasani kwa akinana kizibo,kizibo alikuwa na swali la mtego kwa mwalimu wake,mambo yalikuwa hivi:
Kizibo.Eti mwalimu,hivi ukichanganya sabuni ya OMO na FOMA eti itatowa povu?
Mwalimu:We pumbafu sana swali gani hilo lakijinga? kwanini isitoe povu wakati zote ni sabuni?
Kizibo:Mwalimu we ndo mjinga kabisa haziwezi kutoa povu kwasaba hujachanganya na maji kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Teacher hoi lol.