Mwl wa physics na Mathematics

Mwl wa physics na Mathematics

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
791
Reaction score
832
Wakuu, poleni na majukumu....

Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics.

Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance.

Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
 
Anzisha Tuition mkuu itakuwa poa sana.....vijana wengi wana uhitaji wa hizo tuition hasa kwa masomo hayo yaani ukipiga electromagnetism kwa 40,000/= utakuwa umewasaidiana sana wanafunzi....mambo ya Calculus..hakika mkuu utapiga pesa.
by the way subiri waajiri waje mkuu.....
 
Unaomba kujulishwa shuke yenye uhitaji au unaomba kazi? Science ONE like PCM give straight minded graduates

Wakuu, poleni na majukumu....

Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics.

Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance.

Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
 
Mkuu Mimi nna project ya virtual education.Nafundisha masomo Kisha narekodi na kuuza CD kwa CD ya topic moja 2000. Njoo tupige kazi
 
Wakuu, poleni na majukumu....

Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics.

Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance.

Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
I wish tuonane tuanzishe tuition centre yetu mkuu. Kuna hela sana huko Mm Niko Tabata Sanene.
 
Sawa wewe nenda muulizie mtu anayeitwa Dr. Kimaro atakupokea hama hawajapata mtu bado watakuchukua...!
Mkuu siyo kweli,Marian University wanataka Assistant Lecturer (MSC in Physics) huyu ana BSc Education hahutajiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom