Elimu gani uliyonayo, uzoefu???Ndugu wabobezi wa jamii forum , naowaombeni connection ya kazi ya kufundisha masomo ya physics na Mathematics.
Mawasiliano: 0758234994
Natanguliza shukhran kwenu wakuu.
Weka tangazo vzr dear edit hapo gender age location education level etc ... Mungu akutangulieNdugu wabobezi wa jamii forum , naowaombeni connection ya kazi ya kufundisha masomo ya physics na Mathematics.
Mawasiliano: 0758234994
Natanguliza shukhran kwenu wakuu.
GPA ngapi?,Gender: me
Education level: degree
Samahani mkuu, unahisi vitu gani vina miss, kwenye tangazo langu.?Kwa interview hii ndogo tayari Kuna tatizo hapo
Yani unashindwaje kuweka
CV kamili hapo kuepuka maswali madogo madogo yasiyo na sababu
Unashindwa Nini hata kuonyeshaSamahani mkuu, unahisi vitu gani vina miss, kwenye tangazo langu.?
NB: Hii sio CV, nitangazo tu. Natangazo haliwezi likabeba vitu vyote vinavyopatikana kwenye CV. Ndo maana nimetoa contact pale . Mwisho naomba connection.
EMPLOYMENT VACANCYNdugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree.
Nimekuja kwenu mnipe connection ya kazi kufundisha masomo ya Fizikia pamoja na Hisabati , either kwa shule yoyote unayoifahamu yenye uhitaji ama kama wewe mhusika wa bandiko hili waweza niunganisha.
Nina uzoefu usiopungua miaka 3 wa kufundisha Fizikia na Hisabati kwa O'level na pia kufundisha Hisabati kwa A' level mwaka mmoja(1).
Kwa maelezo mengine waweza nipata kwa namba hii +255758234994. Napatikana Dar es salaam.
Natanguliza shukrani zenu.
unauzoefu wa miaka 3 kufundisha fizikia na hisabati; cjui itakuwaje kuna mahali walikuwa wanahitaji mwal.mwenye uzoefu wa kufundisha wanafunzi somo la fizikia na hisabati kwa maelezo yako naona wewe hunaNdugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree.
Nimekuja kwenu mnipe connection ya kazi kufundisha masomo ya Fizikia pamoja na Hisabati , either kwa shule yoyote unayoifahamu yenye uhitaji ama kama wewe mhusika wa bandiko hili waweza niunganisha.
Nina uzoefu usiopungua miaka 3 wa kufundisha Fizikia na Hisabati kwa O'level na pia kufundisha Hisabati kwa A' level mwaka mmoja(1).
Kwa maelezo mengine waweza nipata kwa namba hii +255758234994. Napatikana Dar es salaam.
Natanguliza shukrani zenu.
Mbona iko clear tu...nini hakionekani hapo?kama mtu unaconection mpe jamaa wakaangalie, je anauwezo kwa kudeliver?Kwa interview hii ndogo tayari Kuna tatizo hapo
Yani unashindwaje kuweka
CV kamili hapo kuepuka maswali madogo madogo yasiyo na sababu