MWISHO WA DUNIA umewasili

Yaani mwisho wa dunia uone peke yako! kuna haja ya kuufanyia utafiti wako utafiti.
 
Yaani mwisho wa dunia uone peke yako! kuna haja ya kuufanyia utafiti wako utafiti.

umenisoma vibaya,wenye perception kama yangu na zaidi wameliona hili mda sana ila mimi nawakumbusha jamii kwamba mda u tamati
 
Kama hujui wewe si pumbavu unanyamaza wanasema wanaojua? Kwani lazima useme? Au kakuita ulete umbweha wako wa kishatuani hapa? Pumbavu kweli kweli.

Binafsi sioni mantiki ya hasira na mapovu yanayokutoka hapa. Au ndo madhara ya kula bange kabla ya chakula
....??
 
Joto la sayari dunia limeongezeka sana, ni miaka michache tu dunia itakuwa si eneo rafki kwa viumbe kuishi
 
Tangu kuumbwa kwa Adamu na Eva mpaka gharika ua Nuhu ilikuwa ni miaka 2000. Gharika ya Nuhu hadi Mnara wa Babeli ni miaka 2000. Mnara wa Babeli hadi Yesu kuzaliwa ni miaka 2000. Kuzaliwa kwa Yesu hadi sasa ni miaka 2000+ ambapo katika karne hii, dunia huenda ikaingia katika tukio kubwa sana ambalo halijawahi kutokea...kwa maneno mengine huenda ikawa mwisho wa dunia. Kwanini , ukijumlisha miaka 2000+2000+2000=6000 kulingana na Biblia miaka 6000 ni sawa na siku 6. Siku sita zikiisha tunaingia siku ya saba (7). Maana yake Mungu aliumba dunia hii kwa siku 6 na siku ya saba akapumzika. Waumini wanapomaliza siku 6 (6000 kwa hesabu ya duniani), Yesu atakuja kuchukua wateule wake. 2000+ maana yake ni kuwa sasa tayari tumeingia katika siku ya saba (sabato) ambayo ni mapumziko na katika Biblia 7 ni ukamilifu. Kwavile hakuna ajuaye siku wala saa...asomaye na afahamu kwavile haya manabii walitufunulia. Jiandae kwa lolote Bujibuji katukumbusha ''Tubuni'', na kwasisi wakristo huu ndiyo wakati wa kuwaambia wanadamu warejee na kujiandaa maana wokovu wao umekaribia....Mathayo 28:19-20
Enendeni ulimwenguni kote......akamalizia kusema yuko pamoja nasi hata ukamilifu wa dahari.
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuambia dunia ina mwisho ni nani? Kasome shule.
 
Uliza_Bei tupo pamoja na nikukumbushe kule roma ni sasa ufalme wa sita ,wa saba ndo utimilifu ambao ndo anguko la kanisa na utawala wa mpinga kristu au falme ya saba ,bora watu wakumbuke kutubu kuliko moto wa milele
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuambia dunia ina mwisho ni nani? Kasome shule.

sio lazima shule wala kuambiwa inawezakuwa maono binafsi ndani ya njozi we ndo uende huko shule mi nishamaliza
 

Namkubali sana huyu Musician..... Ungetupiamo na single yake ingekuwa magoli kishenzi
 
Uliza_Bei tupo pamoja na nikukumbushe kule roma ni sasa ufalme wa sita ,wa saba ndo utimilifu ambao ndo anguko la kanisa na utawala wa mpinga kristu au falme ya saba ,bora watu wakumbuke kutubu kuliko moto wa milele

Nakupa LIKE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…