Mwisho wa dunia looo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
sasa hii itasababisha tusiokula ile kitu sijui tukimbile wapi mana huku watu wanagombania kuchinja kule samaki ashageuka kitimoto ....tutakimbilia kwenye maharage na mboga mboga
 
embu jaman tuambie, hiki ktu ni live au ni nn? na kimetokea wapi?
 
Half cast wa fish na kiti bahari zimenajisiwa, patamu hapo!
 
Yaani kisa tumewaambia sisi ndo tuna haki ya kuchinja basi mmeanza kubadili viumbe wote wawe kitikiti
 
View attachment 83988 sasa hii itasababisha tusiokula ile kitu sijui tukimbile wapi mana huku watu wanagombania kuchinja kule samaki ashageuka kitimoto ....tutakimbilia kwenye maharage na mboga mboga

Nako huko unakotaka kukimbilia viazi vinazaliwa na shepu nyeti! Tuende tu aliyeumba ndiye anaeweka maagizo!
 
Duh..masikio ya kitimoto ni matamu hayana mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…