Mwisho wa dunia kisayansi

Waongo tu hao NASA nawachukia sana😡😡😡..Agano lazima litimie sio kwa jiwe la kina NASA ni kwa Vitabu takatifu tu..Tunasubiria mwamba ulioimara Yesu Kristo ndie atakae hit any time sio 21 Sep 2030..
 
acha lije tu huenda litaipiga dunia isogee nyuma kidogo joto lipungue maana sikuizi joto nusu kuiva...!
 
acha lije tu huenda litaipiga dunia isogee nyuma kidogo joto lipungue maana sikuizi joto nusu kuiva...!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hebu elezea kidogo mkuu, jiwe lenye ukubwa wa mile moja lawezaje kuimaliza dunia???
 
Who gives a fuuck?

Silly.

They want to threaten us, they think we are Kids
 
Mleta mada anashindwa kujenga hoja hii topic haina mashiko...
 
Vunjaa Kabisaaa..... lete Bulldozer Haaaa.....😛
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo avatar yako na hilo swali lako vinaendana.
Ha ha haaa dah aise kweli, hata Mimi kabla sijafiiiffikia coment yako, niliwaza hivyo yaani vinaendana kabisa, sura yenye shaka inaonekana wazi.
 
We are adviced to think twice before to posting any newz xo lisipodondoka basi utahukumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…