BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Namaanisha kwa traffic kukusumbua barabaraniSiku moja kabla ya kuisha unatakiwa uweke nyingine na hii ni kwa faida yako mmiliki na hasa kama gari ni ya Abiria.
Bima haina Grace periodi labda kama gari umeipaki nyumbani.Namaanisha kwa traffic kukusumbua barabarani
Unaelewa maana ya expire? Kama huna pesa za kukata bima paki nyumbani gari yako.Wakuu mpo njema!!?
Naomba kujua bima ya gari ikiisha muda wake unapewa muda gani kisheria ili ukate bima mpya kabla traffic hawajaanza kusumbua?
Ahsanteni sana.
Siku 0 unapewaWakuu mpo njema!!?
Naomba kujua bima ya gari ikiisha muda wake unapewa muda gani kisheria ili ukate bima mpya kabla traffic hawajaanza kusumbua?
Ahsanteni sana.
Wakikusimamisha wakaona bima itaisha kesho wanakukumbusha, sasa kama imeisha watakukumbusha nini? Ni kukukamata tu bilakujali iliisha lini.Namaanisha kwa traffic kukusumbua barabarani
Hamnaga grace period kwenye BIMANamaanisha kwa traffic kukusumbua barabarani
Naona hujaelewa nachohitaji kujua.Unaelewa maana ya expire? Kama huna pesa za kukata bima paki nyumbani gari yako.