Mwinyi: Hakuna maendeleo bila kanisa

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Ni vyema taasi za dini zikapewa kipaumbele katika suala zima la maedeleo ya nchi. Asante Mwinyi kwa kuliona hill

 
Kwani china kuna makanisa? Au point ni kwamba tabia ya watz hawaendi bila kanisa na misikiti?
 
Wakuuu nmepata habar huyu mzee amefarik kuna mwenye taarfa kamil?
 
Huku ndo kulewa madaraka babkubwa ata dini yako na imani yako unaziweka rehani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…