Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,572
Hongera kwa maaskari wanaoendeleza harakati za kupambana na madawa ya kulevya
sasa sijui walikuwa wanapitaje siku za nyuma?
----- wewe_kayachome yale ya SLAa kwanza
Hapo mateja wakisikia hivyo wanachukia kweli.
Sio wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu!! Na zaidi, hatutaingia mbinguni kwa mavazi yetu, sura zetu, rangi zetu, wala matendo yetu ila ni kwa neema tu!! Mtu kama huyu angefanikiwa kuuza huo unga siku moja angeweza hata kutoa msaada kwa watoto yatima then watu wangesema anatenda jambo jema hivyo anafaa kuigwa!!
Awataje waliomuuzia kama alinunulia hapo dar.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Duh!
Mbona kizee hiko lakini wanasema ana 25 yrz!
Sio wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu!! Na zaidi, hatutaingia mbinguni kwa mavazi yetu, sura zetu, rangi zetu, wala matendo yetu ila ni kwa neema tu!! Mtu kama huyu angefanikiwa kuuza huo unga siku moja angeweza hata kutoa msaada kwa watoto yatima then watu wangesema anatenda jambo jema hivyo anafaa kuigwa!!
Tumekwisha, sasa kazi ni moja tu, hakuna haja ya kuangalia sura, cheo, rangi, kabila wala mavazi ya mtu. Hii inanikumbusha utafiti uliofanywa na wanazuoni "Behind the Vail"
Awataje waliomuuzia kama alinunulia hapo dar.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kesho kutwa utasikia mwingine kakamatwa
maana ni kama sikio la kufa vile.
inaoneka hapa Tz kuna shehena kubwa
sana ya dawa. Maana watu huja kuchukua.
but zinaenda wapi hizo dawa ?
nilipochoka zaidi ana passport ya mwaka 1988 kuzaliwa
na jinsi alivyo inaonekana amepga sana hii bussiness mpaka ikamchosha kama mzee wa miaka kadhaa
lo powder dare for more kweli
Mkuu kuhusu miaka yake ni utata mtupu!nilipochoka zaidi ana passport ya mwaka 1988 kuzaliwa
na jinsi alivyo inaonekana amepga sana hii bussiness mpaka ikamchosha kama mzee wa miaka kadhaa
lo powder dare for more kweli
Watu wa Mungu? wao wana Allah na Allah sio Mungu
Watu wa Mungu? wao wana Allah na Allah sio Mungu
Wewe Mbwa wa manzese, huwezi kupiga marufuku vazi la watu kwani kinachotokea ni washenzi wachache kama hao wanaolitukanisha vazi hilo kwa kujifanya wacha Mungu kumbe ni mbwa tu. Na huyo mwanamke siyo muislamu hebu angalia jina lake tu, "Anthonia", waislamu hawana jina hilo. Huyu katumia vazi hili kuuchafua uislamu na vazi lenyewe. Nadhani mbwa wa manzese na wana jf kwa jumla mmenipatamavazi haya yapigwe marufuku, ni worldwide drug traffickers top gear