gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 74
Anajua nn mkuu??Kuna jamaa anaitwa chopa anajua sana
Upo sahihi kabisa mkuu, Mimi kidogo nimebahatika kusomea vocal chord building kwahiyo nilichokisema nakielewa vema.Sawaaa....lakini ulichokisema unakifanya nasikitika wasanii wetu wamejifunzia mitaani na hizo sauti hawazijui wala hawajawahi kuzisikia....wao wanaamini sauti hiO huimbwa na wazungu tuu na kibongobongo huimbwa kwenye kwaya za makanisa ya kale.
Nadhani ni maandishi tu tofauti na KIMBABadili nick name... Kimber????
Mkuu,liko sawa ingia Google utaelewa maana yakeBadili nick name... Kimber????
Mkuu,liko sawa ingia Google utaelewa maana yake
Nilifanya abbreviation lakini in full KimberliteBadili nick name... Kimber????
Sampo za nyimbo zako tusikie na kujiridhisha.Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano.
Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa kwenye upande wa kuipendezesha chorus ya wimbo hili wimbo uwe na mvuto nipo kwa ajili ya kazi hiyo.
Kwani kwa kawaida chorus inahitaji high energy/power zaidi ya verse hili wimbo uvutie mfano wa wimbo wa man in the mirror by lili Wayne feat Bruno mars.hilikuwa nilazima hili wimbo upendeze lazima Wayne amtafute math mwenye uwezo wa kuipa energy chorus,nakiukweli wimbo ule unavutia kupia chorus. Ni kwa style zote za muziki.Gospel,Bongo flava.Pop,Rnb Nk.
Nipo Dar Es Salaam,Temeke Taifa. Kwa mawasiliano 0725907454.
Nitaweka mkuu.ushari mzuriSampo za nyimbo zako tusikie na kujiridhisha.
Kuna mtu amekushauri kuhusu hiyo nick name kubali tuu itakutesa bila ulazima wwte pia unaweza kumprove wrong.
Ungeweka sample ya hiyo hiyo chorus ya mirrow humu watu wakakujua kupitia hiyo.
Nakumbuka lil Ma aliweka nyimbo yake YouTube tu na dunia nzima ikamjua. Weka kazi yako ikusapoti unachokifanya, ciao