Mwili kuwasha

MASEBUNA

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
243
54
Dr.

Nimepata ugonjwa wa kuwashwa kwa sehyemu za mwili hasa kwnye mapaja, mapumbu na sehemu ya uume nilikwend hospitali nikapima damu lakini hawakuona chochote nimetumia dawa aina tatza kupaka lakini sijapata nafuu.

naomba msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom