nenda hosptl kwa msaada zaidi,huenda kuna kitu una allergy nacho ktk hivyo vyakula! mf mafuta yanayotumika wakt wa kupikia n.kAsante, kusema ukweli ni vyakula mbalimbali. mwanzo nilidhani vyakula vya kukaanga (fried food) lakini baada nikagundua kuwa ni zaidi ya hapo.
mimi tatizo hilo ninalo kama nitakula kamba au nikimeza vidonge vya hedex na asprin, sijaenda hospital ila situmii vituAsante, kusema ukweli ni vyakula mbalimbali. mwanzo nilidhani vyakula vya kukaanga (fried food) lakini baada nikagundua kuwa ni zaidi ya hapo.
Hebu kula vyakula jamii ya mboga mboga tu, yaani nafaka na majani na matunda na nuts na legumes tu, usitumie nyama, mayai, maziwa, sugar na oils, then ujiwa poa njoo uni tag tena.Habari wadau wa Jukwaa hili,
nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mwili kuvimba mara nyingi ninapomaliza kula chakula. Uvimbe ninaoupata ni mithili ya mtu alietembelewa na mdudu. nimefuatililia na kugundua aina ya uvimbe ninaoupata kitaalamu unaitwa "HIVES". lakini pia wakati flani huwa inatokea navimba mdomo na kuwashwa sana. Tatizo hili nimekuwa nalo muda mrefu sana.
Tafadhali naomba msaada wa tiba au ushauri wa namna ya kukabiliana na tatizo la Mzio (Allergy) huu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.
View attachment 1048425View attachment 1048426
asante sana kwa ushauri, naanza na diet hii uliyonishauri nione matokeoHebu kula vyakula jamii ya mboga mboga tu, yaani nafaka na majani na matunda na nuts na legumes tu, usitumie nyama, mayai, maziwa, sugar na oils, then ujiwa poa njoo uni tag tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mkuu, je kuna hospital yoyote unaifahamu kuna mtaalamu mzuri wa allergy?That is allergy. Nenda hospitali wataangalia una allergy na vitu gani. Kuna dawa, but best option huwa ni kuviacha vitu vinavyoileta hali hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Regency wako vizuri sana, wana maspecialist wa masuala ya ngozi. Utapata matibabu vizuri kabisa..Asante kwa ushauri mkuu, je kuna hospital yoyote unaifahamu kuna mtaalamu mzuri wa allergy?
Asante sana ndugu, nitajitahidi wiki ijayo niwahi pale.Regency wako vizuri sana, wana maspecialist wa masuala ya ngozi. Utapata matibabu vizuri kabisa..
Kama una bima ya Afya (NHIF) itakua rahisi kwako kuweza kumudu gharama za pale.
Specialist wa ngozi anapatikana siku za Jumatano na Alhamisi.
Wahi mapema asubuhi upangiwe appointment mapema na daktari
Sent using Jamii Forums mobile app