Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,894
- 44,270
Mkuu Nyakwaratony sioni kuwa hayo ni maradhi mtu kutokwa na maji maji mikononi na nyayoni mimi mwenyewe wakati nina umri wa miaka 20 mpaka 28 nilikuwaDr. MziziMkavu unahitajika hapa plz
Mkuu mpinga shetani Kwani kutokwa na maji mikononi na nyayoni kunasababishwa na uvutaji wa sigara au kuvuta bangi? Mbona mimi nilikuwa ninatokwa na maji mikononi na nyayoni miaka 25 iliyopita na nilikuwa sivuti Bangi wala sigara? Maumbile ya mtu jinsi alivyo sioni kuwa hizo hoja ulizotowa ndio itakuwa ni sababu Mkuu mpinga shetani.aache sigara, bangi!
hodi,habari wanajamvi!!
....naomba msaada juu ya hili!....mpenz wangu ana tatizo la kutoka majimaji(yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu!kiasi kwamba hata akilala anatumia feni(note,anaishi kusini).na mikononi hawezi hata kukushika 1 minite kashalowa!
Tatizo ni nini,au ni ugonjwa?
Wise!sikuona kitufe cha like!unastahili like kadhaa hapa!Mkuu Nyakwaratony sioni kuwa hayo ni maradhi mtu kutokwa na maji maji mikononi na nyayoni mimi mwenyewe wakati nina umri wa miaka 20 mpaka 28 nilikuwa
ninatokwa na majasho mikononi na nyayoni kila siku baada ya miaka fulani kupita ikaondoka yenyewe huyu.@christine ibrahim kama ana wasiwasi kutokwa na majasho mpenzi wake aende Hospitali kumuona Daktari hapa
tumesema mtu ana kuja kueleza matatizo yake wakati amesha kwenda Hospitali na hakupona ndio aje hapa
sio una maradhi unakimblia Jamii forums kuuliza hayo maradhi yako namna ya kuyatibu haito wezekana unakuja hapa baada ya Hospitali kushindikana ndio uje hapa upewe mawazo na ushauri wetu wa bure asante.