Nenda kapime kama alivyosema bwana chanawaleti kicha tuletee majibu tukushauri.
SUGAR, Hembu jaribu kufanya kitu rahsi kwanza, masaa mawili baada ya mloo, unapokwenda kukojoa jaribu kulamba mkojo wako uone kama una utamu wa sukari, hicho ni kipimo cha haraka cha kisukari, lakini sio kila mkojo mtamu inaweza kuwa sukari bali kutokana na hali yako inaweza kuwa.
BP, Je kuhisi kuishiwa nguvu kunaambatana na kuchoka na jasho? je mara nyingi hutokea wakati gani?
HIV. Hii kapime kwanza.
yaa ni kwel mkuu lina ukaribu sana na BP mimi ilinitokea sana hiyo kitu kipindi nikawa nasikia mwili kuchoka sana sasa nikadhani ni kazi nazofanya ikanipelekea kuwa nakunywa readbull sana siku moja kichwa kilikua kinaniuma mchana nikameza hedex bas jioni nikinywa dragon na konyagi nikiwa usingizini nilitokwa na jasho sana uchomvu ukaongezeka nilipowahi hospital nilikuta presha ipo 180 so mkuu jtahd kupima presha maana huo ugonjwa ni hatari sana je ushapima BP
mwili unapoishiwa nguvu sitoki jasho ila siwez kusimama au kusika kitu kama nimekaa sitaweza kunyanyuka nashindwa kuielezea vzr hali yenyewe jinc inavyokuwa lkn hyo ndio hal yenyewe.